Maisha ni kugharimia

Résumé En Sw

Mathias E. Mnyampala (1917-1969) is a famous Tanzanian writer and poet who wrote in Kiswahili. This book is the first edition of the 1968 unpublished manuscript of his autobiography discovered in 2007 in Dodoma (Tanzania) by Dr. Mathieu Roy. This full edition contains some pictures from the original autobiographical manuscript and other documents from Mathias E. Mnyampala's archives.

Mswada huu wa mwaka 1968 ambapo marehemu Mathias E. Mnyampala anatusimulia habari za maisha yake binafsi ulibaki muda mrefu sana uliozidi miaka arobaini bila kupigwa chapa. Uligunduliwa mwaka 2007 mjini Dodoma na Dkt. Mathieu Roy kwa kushirikiana na TUKI (TATAKI sasa ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam) na mwana wa mwandishi Bwana Charles M. Mnyampala aliyehifadhi mswada huo ukiwa kwenye hali ya nyaraka kwa muda mrefu na kupata kuhaririwa mwaka 2013 na Dkt. Mathieu Roy. Kwa mara ya kwanza, toleo hili kutoka shirika la DL2A – Buluu Publishing (Ufaransa) linawapa wasomaji watukufu na wapenzi wa Kiswahili nafasi ya pekee ya kugundua maisha ya mzungupule huyo wa Kiswahili na fasihi yake.Toleo hilo kamili linaonyesha picha kutoka mswada wa asili wa maisha ya mwandishi pamoja na picha nyingine kutoka kanzi ya nyaraka za Mathias E. Mnyampala.

document thumbnail

Par les mêmes auteurs

Sur les mêmes sujets

Sur les mêmes disciplines

Exporter en